TETESI ZA USAJILI BONGO: Baleke anazitaka Yanga, Azam, Singida BS yatua kwa Adebayor..
STRAIKA wa zamani wa Simba Mkongomani, Jean Baleke yupo nchini akiwa katika mazungumzo na timu mbili za Dar es Salaam, Azam na Yanga. Inaelezwa Baleke aliyecheza Simba kwa mkopo akitokea TP Mazembe kabla ya kutimkia Al Ittihad ya Libya Januari mwaka huu, yupo katika mazungumzo na mabosi wa Azam na Yanga akitaka kujiunga na mojawapo….