KMKM yapigwa tena, yatema ubingwa ZPL

MAAFANDE wa KMKM, imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika mechi za lala za Ligi Kuu Zanziba (ZPL) na kuutema rasmi ubingwa baada ya jioni ya leo kufungwa mabao 2-1 na KVZ. Watetezi waliokuwa wanalishikilia taji kwa msimu wa tatu mfululizo, walikumbana na kipigo hicho kwenye Uwanja wa Mao A, mjini Unguja ikiwa ni wiki moja…

Read More

Kasi ongezeko maambukizi ya kaswende yashtua

Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wameishauri Serikali ipambane na kasi ya ongezeko la magonjwa ya zinaa nchini, huku kaswende ikitikisa zaidi. Kaswende husababisha magonjwa ya moyo, upofu, ugumba, mzio wa ngozi, ganzi mwilini na athari zingine. Kwa mujibu wa wataalamu hao, kaswende inakuwa tishio zaidi kwa kuwa aliyeambukizwa anaweza kuishi na maambukizi hayo hata…

Read More

Madali wa viwanja, Silaa katika vita mpya

Dar es Salaam. Licha ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupiga marufuku uuzaji wa ardhi kupitia kampuni za madalali zenye mabango katika maeneo mbalimbali nchini, wadau wamesema hatua hiyo haitakuwa muarobaini wa utapeli na migogoro katika sekta ya ardhi. Marufuku ya uuzaji wa ardhi kupitia kampuni hizo za udalali, imetolewa jana Juni…

Read More

ADEBAYOR: Huyu Samatta apewe heshima yake

WAKATI ombi la Mbwana Samatta kutaka kustaafu kuichezea timu ya taifa, Taifa Stars likisubiri baraka za Shirikisho la Soka nchini (TFF), nyota wa zamani wa kimataifa wa Togo aliwahi kuwika na klabu za Real Madrid, Arsenal, Man City na Spurs, Emmanuel Adebayor amemkingia kifua nahodha huyo wa Tanzania. Adebayor aliyekuwa mjini Unguja, visiwani Zanzibar katika…

Read More

80 wajitokeza kuwania urais Iran, sita wapitishwa kugombea

Tehran. Watu sita wameidhinishwa kugombea urais wa Iran katika uchaguzi utakaofanyika Juni 28, 2024. shirika la habari nchini humo la Iran International limeripoti.  Uchaguzi utafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa taifa hilo,    Ebrahim Raisi aliyefariki kwenye ajali ya helikopta pamoja na wasaidizi wake huko Kaskazini Magharibi mwa Iran iliyotokea Mei 19, 2024. Katika kufanikisha…

Read More

Simba inahitaji akili kubwa kujikwamua kwa sasa

KWA muda mrefu baadhi ya wadadisi tumekuwa tukihoji kusuasua kwa safari ya mabadiliko kwenye klabu ya Simba, lakini hoja hizo zimekuwa zikipokewa kwa matusi, dhihaka, mizaha na kejeli, kitu ambacho usingekitegemea kutoka kwa watu walioamua kwa dhati kufanya mabadiliko. Kinara wa udadisi huo alikuwa Mbunge wa Nzega (CCM), Dk. Hamisi Kigwangallah, ambaye alianzia kuhoji uteuzi…

Read More

Simba yashtuka, kuja kivingine | Mwanaspoti

KATIKA kuhakikisha Simba SC inarudi kwa kishindo, klabu hiyo imesema imejipanga kufanya usajili kwa umakini mkubwa ili kutorudia makosa ya nyuma na uongopzi wa Msimbazi umetangaza kuja na sera ya usajili. Kwa misimu mitatu mfululizo Simba imeshindwa kuwa na maajabu katika Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho, huku ikikwamia hatua ya robo fainali ya…

Read More