Straika wa mabao yupo yupo tu
BAADA ya kupandisha timu Ligi Kuu na kuibuka mfungaji bora winga wa Ken Gold, William Edgar amesema bado hajajua hatma yake kubaki au kuondoka kikosini humo msimu ujao. Nyota huyo aliandika historia ya kuwa mchezaji wa kwanza aliyefunga idadi kubwa ya mabao (21) lakini ikiwa mara ya pili kupandisha timu Ligi Kuu, akifanya hivyo 2021/22…