JUMAMOSI NI ZAMU YAKO KUFURAHIA MKWANJA NA MERIDIANBET

WIKIENDI ndiyo hii imefika jaman na wewe kama mteja wa meridianbet hauna haja ya kujiuliza utaanzaje Jumamosi yako. Suka jamvi lako hapa na ubeti mechi zako za uhakika usitoke kapa leo. Darubini yangu inaanza kumulika mechi ya Hungary ambaye atachuana dhidi ya Israel majira ya saa moja usiku. Timu zote zimetoka kupoteza mechi zao za kirafiki zilizopita,…

Read More

Hersi: Tuliambiwa tuchague fidia, ama tujenge uwanja

RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuhusu mipango ya kujenga uwanja wao wa kisasa katika eneo la Jangwani, walipewa machaguo mawili — walipwe fidia na kuhama katika eneo hilo ambalo liko katika mipango ya kuboreshwa au wajenge uwanja ulio bora kabisa.  “Serikali ilitufanya tuchague mambo mawili, kuachia uwanja ili turudishiwe fidia ama kujenga uwanja…

Read More

Udzungwa wataka gesi ya kupikia kukabiliana na ukataji miti

Morogoro. Ili kukabiliana na ukataji wa miti kwenye hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa kwa ajili ya kuni, mkuu wa hifadhi hiyo, Theodora Batiho amewaomba wadau kujitokeza kuwapatia wananchi nishati ya gesi kwa ajili ya kupikia majumbani. Amesema hiyo itakuwa njia mbadala ya kuwasaidia wananchi hao kuepukana na madhara ya matumizi ya kuni lakini…

Read More

Try Again, Mangungu hawana mpango wa kujiuzulu Simba

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ wamesema hawana mpango wa kujiuzulu nafasi zao sambamba na Wajumbe wa Bodi upande wa Wanachama. Hayo yamekuja siku chache baada ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba upande wa Mwekezaji, kuridhia uamuzi wa Rais wa Heshima wa…

Read More

RITA yaibua ubadhirifu wa bilioni 1 msikiti Mwanza

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini nchini (RITA), imebaini ubadhirifu mkubwa wa kiasi cha Sh bilioni moja katika Msikiti wa Ijumaa uliopo Jijini Mwanza na hatua za kisheria zimeshaaza kuchukuliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza …(endelea). Akizungumza katika ziara yake mkoani Mwanza  mwishoni mwa wiki, Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Frank Kanyusi…

Read More

Bil 20 za Mo zaibua utata Simba

MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, CPA Issa Masoud amesema shilingi bilioni 20 zinazopaswa kuwekwa na mwekezaji wa klabu hiyo, Mohamed Dewji zimeibua matatizo baada ya mwekezaji huyo kudaiwa kuhitaji fedha alizotoa awali kama msaada zigeuzwe kuwa mtaji. Akizungumza na waandishi wa habari, Masoud amesema walipokea taarifa ambazo hazikuwa katika urasmi wake ikiwataka kama…

Read More

Kilichomuua Suleiman Mathew hiki hapa!

SAA chache baada ya kutolewa kwa taarifa kwamba nyota wa zamani wa Tukuyu Stars, Simba na Yanga, Suleiman Mathew amefariki dunia asubuhi hii, chanzo kilichomuua staa huyo aliyemudu beki ya kati kimeanikwa hadharani. Mathew alikumbwa na umauti akiwa amelazwa katika hospitali ya Amana (sio Temeke kama ilivyoelezwa mwanzoni) baada ya kuanza kuugua mara aliporudi kutoka…

Read More