Mkuchika akumbushia bao la Aziz KI CAF
MWENYEKITI wa Baraza la Wadhamini wa Klabu ya Yanga, George Mkuchika amesema kama timu hiyo isingenyimwa bao la nyota wa kikosi hicho, Stephane Aziz KI wakati wa mechi yao ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns wangefika mbali zaidi. Mkuchika amezungumza hayo leo wakati wa Mkutano Mkuu wa Klabu hiyo…