Saini ya hakimu yasababisha kesi ya kulawiti kusikilizwa upya
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dodoma, imetengua hukumu na adhabu ya Mahakama ya Wilaya ya Singida iliyomuhukumu kifungo cha maisha jela aliyekuwa askari wa Jeshi la Polisi, Sajenti David Sangana kutokana na mapungufu ya kisheria. Uamuzi huo umefikiwa kutokana na hakimu aliyesikiliza shauri hilo awali, kutotia saini kumbukumbu za mwenendo wa kesi, hivyo imeamuru…