WANANCHI WASHAURIWA KUWA NA UTAMADUNI WA KUWEKA AKIBA YA FEDHA
Afisa Usimamizi wa Fedha katika Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha – Wizara ya Fedha, Bw.Stanley Kibakaya, akitoa elimu ya fedha kwa baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Afisa Tabibu Kibondo, mkoani Kigoma. Na. Chedaiwe Msuya,WF, Kigoma Wananchi wametakiwa kukopa mikopo yenye faida kwenye taasisi au mtu binafsi ambaye ana leseni iliyotolewa na Benki…