Farid amaliza utata, apewa miwili Yanga
LICHA ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara chini ya Kocha Miguel Gamondi, kiraka wa Yanga, Faridi Mussa bado ataendelea kukipiga Jangwani hadi mwaka 2026. Farid anayemudu kucheza kama kiungo mshambauliaji, winga na beki wa kushoto, aliyejiunga na Yanga Agosti, 2020 akitokea Tenerife ya Hispania ataendelea kukipiga kwa mabingwa hao wa Tanzania baada ya…