Israel yawaokoa mateka wanne wakiwa hai huko Gaza – DW – 08.06.2024
Jukwaa linalowaunganisha ndugu na jamaa wa mateka wanaoshikiliwa na Hamas huko Gaza lilipongeza uokoaji wa mateka hao wanne kutoka kwenye ardhi ya Palestina siku ya Jumamosi. Jukwaa hilo limesema: “Operesheni ya kishujaa ya jeshi la Israel ambayo iliwezesha kuokolewa kwa Noa Argamani, Shlomi Ziv, Andrey Kozlov, na Almog Meir Jan ni ushindi wa kimiujiza,” na…