RIPOTI MAALUM: Janga, Kwa nini kamari zinaongezeka licha ya athari mbaya? – 2
KATIKA mfululizo wa ripoti maalumu hii juu ya uraibu wa michezo ya kamari nchini, tuliona namna watoto wenye umri chini ya miaka 18 wanavyojiingiza, licha ya kuwepo kwa sheria kali zinazowazuia kujihusisha nayo. Tuliona namna watoto hususan wanafunzi wanavyotumia fedha wanazopewa na wazazi ili kutumia shuleni wakiziteketeza kwenye mashine za kamari maarufu kama Dubwi kwa…