PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 8,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 8,2024 Featured • Magazeti About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 8,2024 Featured • Magazeti About the author
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam June 8, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 8, 2024 first appeared on Millard Ayo.
KIPA wa Yanga, Aboutwalib Mshery amemaliza mkataba wake ndani ya kikosi hicho huku akisubiria viongozi kujua hatima yake msimu ujao, huku klabu ya Azam ikitajwa kumfukuzia. Duru za kimichezo zinasema wawakilishi wa mchezaji huyo, tayari wameanza mazungumzo na klabu kadhaa huku ikielezwa Azam ni kati ya zinazomhitaji kwa kilichoelezwa mipango ya kumrejesha Aishi Manula huenda…
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ikiongozwa na Mwenyekiti Profesa Othman Chande Othman imetembelea ofisi za TBS zilizopo mipaka ya Namanga, Holili, Tarakea na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Ziara hiyo imefanyika kuanzia tarehe 3 Juni hadi Juni 5 mwaka huu ambayo ilihusisha mipaka iliyopo kwenye mikoa ya Arusha…
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa majadiliano kati ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Vyuo Vikuu nchini kuhusu utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023,Mkutano uliofanyika leo Juni 7,2024 jijini Dodoma. WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akisisitiza…
Leicester City imethibitisha kuwa Dennis Praet, Marc Albrighton na Kelechi Iheanacho wataondoka katika klabu hiyo wakiwa wachezaji huru. Uamuzi huu unaashiria mwisho wa muda wao wa kukaa Leicester City. Dennis Praet: Dennis Praet, kiungo wa kati wa Ubelgiji, alijiunga na Leicester City mnamo Agosti 2019 kutoka Sampdoria. Praet alicheza jumla ya mechi 54 akiwa na…
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema kuwa Kampuni ya Volt Graphite Tanzania Limited (VGT) ipo katika majadiliano ya mwisho na wanunuzi wa Madini ya Kinywe (Graphite) ili kuruhusu kuanza kwa ujenzi wa kiwanda cha kuongeza thamani ya madini hayo Wilayani Masasi, Mkoa wa Mtwara. Ameyasema hayo leo Juni 07, 2024, Bungeni, Jijini Dodoma…
Afisa Usimamizi wa Fedha katika Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha katika Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, akitoa semina kwa wananchi wa kata ya Kibondo mkoani Kigoma, kuhusu umuhimu wa elimu ya fedha na njia bora za kujikwamua kiuchumi na kibiashara. Afisa Biashara RS Kigoma, Bw. Baraka Mphubusa, akitoa mada kwa wananchi wa…
Mshambulizi wa Crystal Palace, Eberechi Eze ana kipengele cha kutolewa chenye thamani ya pauni milioni 60, Mail Sport inaweza kufichua. Eze aliteuliwa katika kikosi cha mwisho cha Uingereza kwa ajili ya Euro 2024 siku ya Alhamisi na anajiandaa kwa mchuano wake wa kwanza kuu kama mchezaji wa kimataifa wa ngazi ya juu. Na tunaweza kufichua…
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji (Rufaa), Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akifungua mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Juni, 2024 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uboreshaji wa Daftari. (Picha na INEC). Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya…