Sloti ya Maajabu, Fortune Farm Kasino Mtandaoni

* “Fortune Farm ni mchezo wa sloti ya kasino ya mtandaoni wenye nguzo tano zilizopangwa katika safu mitatu naina njia 10 za malipo zisizobadilika. Ili kushinda, unahitaji kuunganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.” MERIDIANBET Kasino ya Mtandaoni inakukaribisha kwenye Shamba la Furaha! Furahia wakati mzuri ambao haujawahi kuwa nao kabla. Kutana…

Read More

Refa digidigi aliyemtikisa Motsepe CAF

SIKU njema huonekana asubuhi. Hii ipo kwa refa bwa’mdogo kutoka Libya, Zakaria Ibrahim Al-Ghaithy (15) ambaye alikuwa kivutio katika fainali za Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kwa timu za Shule (ASFC 2024) zilizofanyika mjini Unguja, Zanzibar. Katika fainali hizo zilizomalizika mwishoni mwa mwezi uliopita, Al-Ghaithy alikuwa gumzo kutokana na uwezo wake wa kupuliza kipyenga kwa…

Read More

Wapigakura kuboresha taarifa zao Daftari la Wapiga Kura

Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema mfumo wa uandikishaji wa Daftari la Wapigakura 2024  umeboreshwa ili kutoa fursa kwa mtu aliyepo katika daftari hilo kuanzisha mchakato wa kuboresha taarifa zake au kuhama kituo kwa kutumia simu au kompyuta. Imefafanua kuwa baada ya mpiga kura huyo, kukamilisha taratibu zake atalazimika kutembelea kituo…

Read More

‘Uchebe’ atua Singida Black Stars

Singida Black Stars imemtambulisha kocha wa zamani wa Simba Patrick Aussems kuwa kocha wao mpya. Taarifa iliyotolewa muda mfupi uliopita kutoka Ofisi ya Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Jonathan Kasano,imesema Aussems atakuwa kocha mkuu wa timu hiyo kuanzia msimu ujao. Aussems, ataanza kazi rasmi Julai Mosi ambapo Sasa ataendelea na majukumu ya kukijenga kikosi…

Read More

ODDS KUBWA, MACHAGUO ZAIDI YA 1000 YAPO HAPA

MECHI za mataifa za kufuzu kombe la Dunia 2026 zinaendelea hii leo ambapo timu kibao zinatafuta ushindi kujiweka sehemu nzuri kabla ya mambo hayajaanza kubadilika. Meridianbet itaanza kuangazia mechi ya Zimbabwe dhidi ya Lesotho majira ya kumi jioni ambapo nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa mwenyeji kwa ODDS 1.65 kwa 5.29. Mwenyeji yupo nafasi ya…

Read More

Waziri atoa mwezi mmoja Mfumo wa Mipaka kufanya kazi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na askari wa idara ya uhamiaji ya nchini Burundi wakati wa ziara ya ukaguzi wa Mpaka wa Manyovu unaotenganisha nchi ya Tanzania na Burundi.Waziri Masauni yuko katika ziara ya kikazi mkoani Kigoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Mkuu wa wilaya ya Buhigwe,…

Read More