Serikali kujenga matenki sita mapya ya mafuta Kigamboni na kufufua tenki namba Nane
Na Faraja Masinde, Mtanzania Digital Serikali imeazimia kujenga matenki mapya sita ya mafuta na kufufua tenki namba nane katika eneo la Kigamboni, Dar es Salaam, ili kuhakikisha nchi inakuwa na akiba ya kutosha ya mafuta wakati wote. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Balozi Ombeni Sefue, amebainisha hayo…