Shangazi afunguka sababu ya kujiuzulu Simba SC

Mbunge wa Jimbo la Mlalo na mjumbe kamati ya bodi ya wawekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo. Shangazi amesema kuwa ameamuandikia Mohamed Dewji, barua ya kumuomba kujiondoa kwenye bodi ya uwekezaji tangu Juni 2 mwaka huu hii ni kutokana na mwenendo…

Read More

Wafuasi ANC waandamana kupinga muungano na DA

Wafuasi wa chama cha African National Congress (ANC) nchini Afrika Kusini, wameandamana jijini Johannesburg, kushinikiza viongozi wao wakatae kuingia katika muungano na chama cha Democratic Alliance, DA. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hatu hiyo inajiri baada ya chama hicho tawala cha Afrika Kusini kufungua milango ya mazungumzo kwa chama chochote kilichopata viti bungeni kwenye…

Read More

Serikali yataja ukomo wa michango kidato cha tano

Dodoma. Serikali imetoa ukomo wa michango kwa wanafunzi wanaojiunga na masomo ya kidato cha tano kuwa ni Sh80,000 kwa shule za bweni na Sh50,000 kwa shule za kutwa.  Ukomo huo umetajwa leo Juni 7, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainab Katimba bungeni…

Read More

TBS Yaadhimisha Siku ya Chakula Salama Duniani

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeadhimisha Siku ya Chakula Salama Duniani kwa kuendelea kusisitiza ulaji wa chakula salama kwa wananchi ili kuondokana na madhara ya kiafya na kiuchumi ikiwemo kushindwa kumudu katika biashra ya ushindani. Hayo yamebainishwa leo Juni 7, 2024 Jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Ashura Katunzi wakati…

Read More

Wafungisha ndoa watakiwa kujisajili kwenye e-RITA

KABIDHI Wasii Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Frank Kanyusi amewataka wafungishaji ndoa wote nchini kujisajili kwenye mfumo wa kidijitali wa e-RITA ifikapo tarehe 10 Juni 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza Jijini Dar es Salaam jana Alhamisi Kanyusi alisema walengwa katika zoezi hilo ni wafungishaji wote kutoka dini…

Read More

Swali la askofu Gwajima lajibiwa upya

Dodoma. Hatimaye Serikali imelijibu upya swali la Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ambaye wiki iliyopita aligoma kuuliza swali la nyongeza akidai Serikali haikuwa imejibu swali lake la msingi. Mei 31, 2024, Askofu Gwajima aliuliza swali akitaka kujua kuna mpango gani wa dharura wa kudhibiti mito inayopanuka na kuhatarisha maisha na mali za wananchi katika…

Read More

Ukomo michango wanafunzi kidato cha tano 80,000

SERIKALI imesema ukomo wa michango kwa wanafunzi wanaojiunga kidato cha tano katika shule za sekondari za serikali ni Sh 80,000 kwa shule za bweni na Sh 50,000 kwa shule za kutwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yamebainishwa leo Ijumaa na Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za…

Read More

Tetesi za ANC kujiunga na DA zaibua maandamano Afrika Kusini

Johannesburg. Wakati Chama cha African National Congress (ANC) cha Afrika Kusini kikiwa kimejifungia kutafakari kiungane na chama kipi kuunda Serikali, tetesi zimeibuka kuwa chama hicho kinatarajia kuungana na chama cha Democratic Alliance (DA). Tetesi hizo zimeibua hasira kwa baadhi ya wanachama wa ANC na wameanza maandamano ya kupinga. Wakati ANC ikiwa njiapanda, muda wa kikatiba…

Read More

Alliance kutibua sherehe za Simba!

LIGI Kuu ya Wanawake inaendelea leo baada ya kusimama tangu Mei 14, mwaka huu, huku Simba Queens ikihitaji ushindi ili kutwaa ubingwa huo ambao waliukosa msimu uliopita mbele ya JKT Queens. Simba Queens itakuwa ugenini leo katika Uwanja wa Nyamagana, Mwanza kuanzia saa 10:00 jioni ikiwakabili wenyeji wao, Alliance Girls ambao ushindi kwao ni wa…

Read More