Biteko aiagiza Tanesco kujenga laini mpya ya umeme Ushirombo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kujenga laini mpya ya umeme kutoka Nyakanazi-Ushirombo na Kahama Bongwe hadi Bukombe ili kuhakikisha hali ya upatikanaji wa umeme katika  Wilaya ya Bukombe inaimarika. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Dk. Biteko ametoa agizo hilo alipozungumza na wananchi wa Jimbo la…

Read More

Geita bado haiamini, waitana fastaa

BAADA ya kushuka daraja kutoka Ligi Kuu msimu huu na kuwa na ukimya kwa takribani wiki moja, uongozi wa Geita Gold umesema umeamua kutulia kwa sasa na kujikita kufanya vikao vya ndani ili kuja na maamuzi sahihi na mipango ya kinachofuata. Timu hiyo ambayo ilidumu Ligi Kuu Bara kwa misimu mitatu tangu 2021/2022 hadi 2023/2024,…

Read More

Mv Kigamboni kufanyiwa ukarabati mkubwa

Dar es Salaam. Hatimaye Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa) umetangaza kusitisha huduma za uvushaji abiria kwa kutumia kivuko cha Mv Kigamboni kuanzia leo Ijumaa Juni 7, 2024. Hatua hiyo kwa mujibu wa Temesa, inalenga kwenda kukifanyia ukarabati mkubwa kivuko hicho kinachotoa huduma kati ya Kigamboni-Magogoni jijini Dar es Salaam. Uamuzi wa Temesa umefikiwa…

Read More

Wanafunzi Chuo cha Ustawi wa Jamii kushiriki Tuzo za kimataifa Hult Prize Kenya

KUPITIA wazo Lao la kibishara na kibunifu linalohusu “Recycling of plastic waste into eco-brick “ (Utengenezaji na uzalishaji wa tofali kwa kutumia taka za plastiki) wanafunzi watatu kutoka #chuochaustawiwajamii  ni Miongoni mwa wanafunzi kutoka vyuo mbali mbali Duniani wanaokutana Jijini Nairobi Nchini Kenya Kuwania Tuzo hii.  Tuzo ya Hult ni shindano kubwa zaidi la ujasiriamali…

Read More

Kivumbi uchaguzi TWFA Mwanza | Mwanaspoti

KESHO Chama cha Soka la Wanawake Mkoa wa Mwanza (WFAMZ) kitafanya uchaguzi mkuu kupata uongozi mpya utakaochaguliwa na wapigakura 12, huku kukiwa na mnyukano mkali ambao umefanya kamati ya uchaguzi huo kutoa onyo kali. Nafasi zinazogombewa kwenye uchaguzi huo ni mwenyekiti na Sophia Makilagi anatetea kiti chake akikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Mwenyekiti wa…

Read More

Mghana Singida FG akumbushia deni lake

LICHA ya kurudi kuitumikia Singida Fountaine Gate huku akiwa ameifungulia madai kwa Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA), nyota kiraka raia wa Ghana, Nicholas Gyan ameuomba uongozi wa timu hiyo kumlipa deni analowadai ili mambo yasiwe mengi. Gyan alirudishwa Singida baada ya FIFA, kuipa siku 45 timu hiyo kumlipa deni la ada ya usajili huku…

Read More

Wamshukuru Mbunge Toufiq kwa mitungi ya Gesi ya Oryxy

Na Ramadhan Hassan, Chamwino WAJASIAMALI waliopatiwa mitungi ya gesi aina ya Oryxy na Mbunge wa Viti Maalum, Fatma Toufiq (CCM) wameahidi kuachana na matumizi ya kuni na kujikita katika matumizi ya nishati safi ya kupikia. Juni 6,2024 Mbunge huyo alikabidhi mitungi 200 yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 9 kwa wajasiriamali na viongozi wa…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Simba yasaka beki, Azam yatua Zesco

VIONGOZI wa Simba wameanza harakati za kukisuka kikosi hicho na tayari imeanza kuifukuzia saini ya beki wa Geita Gold, Samwel Onditi. Onditi ambaye kwa sasa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika, wawakilishi wake wamefanya mawasiliano na Simba huku ikielezwa kilichobaki ni kukubaliana maslahi. binafsi kwani mchezaji mwenyewe yupo tayari kujiunga nao. Nyota huyo…

Read More