Biashara United yakaa mguu sawa Bara
WAKATI ikisubiri kumjua mpinzani wake kwenye mchezo wa mtoano kucheza Ligi Kuu, Biashara United imeanza kujifua kuweka utimamu, mbinu na saikolojia sawa ili kuwa tayari kwa pambano hilo. Biashara United itacheza na timu itakayopoteza mchezo wa mtoano kati ya JKT Tanzania na Tabora United na katika mchezo wa kwanza uliochezwa Jumatatu kwenye Uwanja wa Alli…