FCC KUENDELEA KUMLINDA MJALI,WAINGIA MAKUBALIANO NA CTI

  Na Mwandishi Wetu TUME ya Taifa ya Ushindani (FCC) imesema itahakikisha inaendelea kumlinda mlaji nchini hususani bidhaa zinazotoka katika viwanda vya ndani na vile vya nje. Kauli hiyo imesemwa Juni 5,2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio wakati wa hafla maalum ya uitiwaji wa saini mashirikiano kati ya Time…

Read More

Bunge laibana Serikali magari ya zimamoto

Dodoma. Bunge limeazimia Serikali ipeleke bungeni muswada wa sheria kuweka utaratibu wa halmashauri kutenga fedha katika bajeti zake kwa ajili ya kununua magari ya zimamoto, matengenezo ya magari hayo na vifaa vya zimamoto na uokoaji. Baada ya hoja kujadiliwa, Spika Dk Tulia Ackson alilihoji Bunge ambalo liliipitisha kwa asilimia 100. Azimio hilo linatokana na hoja…

Read More

Waganga wakuu wapewa maelekezo usimamizi sampuli za vipimo vya VVU

Mbeya. Waganga wakuu  wa  hospitali za mikoa  ya Mbeya, Songwe, Katavi na Rukwa  wameagizwa  kusimamia utunzaji na usafirishaji wa sampuli za maabara na  kuimarisha  afua  za  maambukizi  ya VVU katika vituo vya kutolea huduma. Hatua hiyo iende sambamba na kufanya ziara ya kukagua vituo vya afya zahanati zilizofanyiwa  ukarabati kupitia  ufadhili wa PEPFAR kama zinalingana…

Read More

BILONI 22 KUWEKA LAMI BARABARA 20 ZA MJI WA SONGEA

Na Albano Midelo,Songea HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ni miongoni mwa Halmashauri 12 nchini ambazo zimepata mradi wa uboreshaji wa miundombinu ya barabara za lami nzito ili kuboresha miundombinu ya miji,manispaa ya majiji. Akitoa taarifa ya mradi huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas,Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Wakili Bashir…

Read More

RC Serukamba ahimiza uwekezaji kwenye kilimo cha miti

Iringa. Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi,  Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba amewataka wakulima kuwekeza kwenye kilimo cha miti. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake baada ya Kampuni ya One  Acre Fund Tanzania kutoa motisha ya  malipo  ya fedha kwa wakulima wa miti, Serukamba amesema licha ya kuwa mkoa huo unajivunia uwepo…

Read More

KWA MARA YA KWANZA NCHINI MUHIMBILI MLOGANZILA YATUMIA NJIA YA MATUNDU MADOGO KUONDOA MAWE KWENYE NJIA YA MKOJO

  Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Upasuaji Mfumo wa Mkojo (TAUS) kwa mara ya kwanza nchini wamefanya upasuaji wa kuondoa mawe kwenye njia ya mkojo kwa kutumia matundu madogo kwa wagonjwa waliokuwa na changamoto za mawe kwenye njia mkojo.Akielezea huduma hiyo, Daktari Bingwa wa Upasuaji wa mfumo wa…

Read More

Rais Samia afanya uteuzi akiigusa ofisi yake

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, huku akiigusa ofisi yake kwa kuteua watendaji wanne katika nafasi mbalimbali za uongozi. Miongoni mwa viongozi waliotoka katika ofisi ya Rais ni pamoja na Zuhura Yunus aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Felister Mdemu aliyekuwa msaidizi wa Rais, Maendeleo ya Jamii. Wengine…

Read More