SITI ASHAURI KUANZISHWA DAWATI LA JINSIA BANDARINI
Na Takdir Ali. Maelezo. Idara ya maendeleo ya ya Jamii, Jinsia na Watoto inatarajia kuanzisha Dawati la Jinsia katika eneo la Bandari ili kuondosha matatizo yanayojitokeza. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Idara hiyo, Siti Abasi Ali wakati alipofanya ziara na mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar huko Ofisi za Shirika hilo Malindi Mjini…