Ripoti yabaini mtumishi Hospitali ya Mnazi Mmoja alishambuliwa
Unguja. Ripoti ya kifo cha mfanyakazi wa Hospitali ya Rufaa Mnazi Mmoja, Said Ali Shineni imebainisha hakikuwa cha kawaida bali alishambuliwa. Said anadaiwa kuuawa Juni 4, 2024 na walinzi wa hospitali hiyo ambao ni kutoka Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU). Ripoti ya uchunguzi wa kifo chake iliyotolewa kwa ndugu wa marehemu leo Juni 6, 2024…