Korea Kusini kuongeza ushirikiano wake na Afrika – DW – 04.06.2024
Katika hotuba yake kwenye Mkutano wa Korea Kusini na Afrika, Yoon amesema nchi yake itazidisha misaada ya maendeleo barani Afrika ifikapo mwaka 2030 na kuongeza ushirikiano wa kina hasa katika sekta muhimu za madini na teknolojia. Maafisa wa Korea Kusini wanasema kupanua mahusiano katika sekta ya madini na rasilimali kutasaidia kuboresha ustahimilivu wa mnyororo wa…