Mamilioni ya Wanigeria walala gizani kufuata mgomo wa taifa – DW – 04.06.2024
Mgomo huo pia umesababisha safari nyingi za ndege kufutwa katika uwanja wa ndege wenye shughuli nyingi wa Lagos na katika mji mkuu Abuja huku abiria wasijue la kufanya. Muungano wa vyama vya wafanyikazi nchini Nigeria jana uliizima gridi ya taifa ya umeme na kutatiza pakubwa safari za ndege baada ya kuanza mgomo uliochochewa na hatua…