Wajerumani kuiadhibu serikali yao kupitia uchaguzi wa Ulaya – DW – 04.06.2024
Uchaguzi wa Bunge la Ulaya ni wa pili kwa ukubwa baada ya ule wa India. Raia wapatao milioni 450 wa Umoja wa Ulaya wanapiga kura zao kutoka tarehe 6 hadi 9 Juni. Ujerumani ina wabunge 76 kati ya 720 wanaoshiriki kwenye bunge hilo la Strassbourg. Kwa wiki kadhaa sasa, wapiga kampeni wamekuwa wakiendesha harakati za…