DP World yakabidhiwa bandari Dar

Dar es Salaam. Wakati Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikikabidhi Bandari ya Dar es Salaam kwa Kampuni ya DP World, Serikali inaangalia namna ya kufanya upanuzi wa bandari hiyo ili kuendana na ongezeko la mizigo inayohudumiwa. Hiyo ni baada ya baadhi ya wamiliki wa migodi kutoka nchi jirani pia kuonyesha nia ya kuanza kutumia Bandari…

Read More

Washtakiwa waomba kubadilishiwa shtaka la mauaji

Dar es Salaam. Mshtakiwa Fadhil Athuman na wenzake wawili, wameiomba Serikali iangalie uwezekano wa kuwabadilishia shtaka la mauaji linalowakabili liwe shtaka la mauaji bila kukusudia. Ombi hilo limetolewa leo Jumatatu, Juni 3, 2024 kupitia wakili wao, Hassan Kiangio wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili washtakiwa kusomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo yaani ‘Committal Proceedings’. Kiangio…

Read More