MANSOOR INDUSTRIES LTD KAMPUNI BORA YA AFRICA 2024

  online TUESDAY Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani 2024; yatakayofanyika Kitaifa tarehe 5 Juni – 2024 Jijini Dodoma. Akizungumza na Waandishi wa Habari  Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei 2024; Waziri wa…

Read More

CCM yamkaribisha Mchungaji Msigwa wa Chadema

Arusha. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimemkaribisha ndani ya chama hicho, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa.  Ukaribisho huo, umetangazwa leo Jumatatu, Juni 3, 2024 katika mkutano mkubwa wa hadhara, uliofanyika Soko la Kilombero, Arusha Mjini na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla….

Read More

Mradi wa Tanzania ya kidijitali washinda tuzo ya kimataifa

Dar es Salaam. Tanzania imeibuka mshindi wa Tuzo ya Jumuiya ya Habari Duniani (WSIS 2024) nchini Uswisi. Tuzo hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Duniani (ITU) Doreen Martin na kukabidhiwa kwa Rais wa Jumuiya ya Intaneti Tanzania Nazar Nicholas. Utoaji wa tuzo hiyo umeshuhudiwa na Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya…

Read More

OSTADH ADAIWA KULAWITI WATOTO 15 ,HUKO MAFIA , MKOANI PWANI

  Mkuu wa wilaya ya Mafia, mkoani Pwani, Aziza Mangosongo , amethibitisha kukamatwa kwa Ostadh wa Madrasa anaedaiwa kulawiti watoto zaidi ya Kumi ambapo pia zipo kesi nyingine zinaendelea kuchunguzwa. Aidha amesema, licha ya serikali kupambana kupiga vita vitendo vya ukatili dhidi ya watoto lakini bado baadhi ya wakazi wa kisiwa hicho, wameonekana kutia pamba…

Read More

Utamu, utata Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24

MSIMU wa 69 wa soka la Tanzania umekamilika kwa fainali ya Kombe la Shirikisho kufanyika visiwani Zanzibar na Yanga SC kushinda kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 6-5 baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya 0-0. Yanga ambao pia ni mabingwa wa Ligi Kuu, wamefanikiwa kutetea mataji haya kwa msimu wa tatu mfululizo. Walishinda…

Read More

Watu 6 mbaroni kwa kudakwa na meno ya tembo

Watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za  kukutwa na nyara za serikali aina ya meno ya Tembo vipande 12. Anaripoti Safina Sarwatt, Kilimanjaro…(endelea). Katika taarifa yake kwa wandishi wa habari Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro, SACP Simon Maigwa amesema watuhumiwa hao wamekamatwa kufuatia operesheni ya ukamataji wa makosa…

Read More