Zaidi ya nusu ya miundombinu yote Ukanda wa Gaza imeharibiwa – DW – 03.06.2024
Tathmini ya shirika hilo la Umoja wa Mataifa linalofanya uchunguzi kwa kutumia Satelati (UNOSAT) imeonyesha zaidi ya majengo 137,000 yameathirika huko Gaza. Makadirio hayo yanatokana na picha za satelaiti zilizopigwa Mei 3. Na ilikingalinishwa na picha zilizopigwa mwaka mmoja kabla ya shambulizi la Hamas la Oktoba 7 nchini Israel. Takwimu hizo zinalingana na karibu asilimia 55…