IDARA/VITENGO VYA MAZINGIRA VYASISITIZWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Idara na Vitengo vya Mazingira katika wizara na taasisi za Serikali kuendelea kutekeleza majukumu yao ya msingi yanayolenga kuleta suluhisho la athari za mazingira nchini. Akizungumza wakati wa kuzindua Mabanda ya…