Visiwa vidogo 17 ZNZ,thamani ya mitaji ni dola Million 384
Mara baada ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuruhusu visiwa vidogo vidogo kukodishwa mwaka 2021 ambapo kati ya visiwa vidogo17 kwenye 20 vilitangzwa na kupewa wawekezaji kwa kuekeza na thamani ya mitaji ilioekezwa kwenye miradi hiyo ni Dola za kimarekani Milioni 384 ,zaid ya Dola za Kimarekani Milioni 20.5 zimekusanywa kama ada ya visiwa hivyo….