Msigwa akataa rufaa kupinga matokeo ya uchaguzi Nyasa
Iringa/Dar. Aliyekuwa mgombea uenyekiti wa Kanda ya Nyasa ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa amekata rufaa katika chama hicho, akidai ushindi alioupata Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ haukuwa halali. Hata hivyo, wakati Msigwa akisema hayo, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itifaki, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema kama kweli Msigwa amekata rufaa na kufuata mfumo unaotakiwa,…