TPC na mipango ya kuwainua wanawake gofu

KATIKA kuhakikisha usawa wa kijinsia kwenye mchezo wa gofu, klabu ya TPC Moshi imeanza rasmi mchakato wa kuongeza idadi ya wachezaji wa kike. Mzuka wa gofu, kupitia gazeti la Mwanaspoti limefanya mahojiano na nahodha wa TPC, Jafari Ali ambaye anataja mipango ya klabu hiyo. Anasema mkakati wa klabu hiyo ni kuhakikisha wanawapata wanachama wa kike…

Read More

Mustakabali wa Bruno Fernandes ndani ya Man Utd.

Wakala wa Bruno Fernandes Miguel Pinho amekutana na vilabu vikuu vya Ulaya. Mkataba mpya wa Man Utd pia unawezekana lakini inategemea meneja na mradi mpya wa Man United. Bruno Fernandes, kiungo mahiri wa Manchester United, amekuwa akigonga vichwa vya habari hivi karibuni kutokana na wakala wake, Miguel Pinho, kuripotiwa kukutana na klabu kubwa za Ulaya….

Read More

Bakari Machumu atangaza kustaafu MCL

Dar es Salaam. Baada ya miaka minne ya mafanikio ya kiuongozi akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu ametangaza kustaafu ifikapo Agosti 31, 2024. Machumu ambaye amehudumu kwa muda mrefu katika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya kampuni hiyo hadi kufika ngazi ya mkurugenzi mtendaji, ametangaza hilo leo Jumatatu Juni…

Read More

WAZIRI JAFO AKITETA BUNGENI NA NAIBU WAZIRI MKUU

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni jijini Dodoma leo tarehe 03 Juni, 2024. Leo Mhe. Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya…

Read More

Fulham kumsaka Smith Rowe. – Millard Ayo

Fulham imemtambua mchezaji wa Arsenal Emile Smith Rowe kama kipaumbele cha uhamisho wa majira ya joto. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amekuwa na wakati mgumu kwa muda wa kucheza Arsenal, akiwa na zaidi ya dakika 700 katika misimu miwili iliyopita chini ya meneja Mikel Arteta. Fulham ina nia ya kumsajili Smith Rowe ili…

Read More