RAIS SAMIA ATETA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA POSCO INTERNATIONAL YA KOREA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa ya POSCO International pamoja na viongozi wao Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni, 2024. Kampuni hiyo imewekeza katika uchimbaji wa Madini ya Kinywe katika Mgodi wa Mahenge Graphite ambao ni mradi mkubwa wa…