Maelfu wahamishwa kufuatia mafuriko Ujerumani – DW – 03.06.2024
Watu wameokolewa katika vijiji kadhaa vilivyoko pembezoni mwa mto Danube na Schmutter huku afisa mmoja akielezea wasiwasi kuhusiana na kufurika kwa bwawa lililoko eneo hilo. Maafisa wa uokoaji wakiwaokoa watu kwa mtumbwiPicha: Stefan Puchner/dpa/picture alliance Kulingana na idara ya hali ya hewa ya Ujerumani, mvua kubwa na mafuriko iliyoshuhudiwa katika majimbo mawili imetatiza shughuli za…