Mzungu wa Yanga azikumbuka dabi

BAADA ya kudumu kwa msimu mmoja hatimaye kiungo mshambuliaji wa Yanga Princess, Kaeda Wilson anarudi nchini Marekani lakini akiwa na kumbukumbu ya kufunga mabao kwenye mechi za dabi. Kiungo huyo ataondoka nchini mwezi huu kuendelea na masomo kwenye Chuo cha UTAH kilichopo nchini kwao baada ya kucheza Yanga msimu mmoja. Mchezaji huyo hadi raundi ya…

Read More

Madeni yatajwa kuchangia changamoto za afya ya akili

Dodoma. Ili kulinda afya ya akili watu wametakiwa kuishi kwenye kiwango cha maisha wanayoyamudu  na kuachana na maisha ya gharama kubwa, ambayo yanawaingiza kwenye madeni wasiyoweza kuyalipa. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili Juni 02, 2024 na daktari bingwa wa magonjwa na afya ya akili kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Dk Godwin…

Read More

Wajasiriamali wahimizwa kuthibisha bidhaa TBS

Na Mwandishi Wetu, Geita WANANCHI wamehimizwa kununua na kutumia bidhaa zilizothibitishwa ubora na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na kuhakikisha bidhaa wanazotumia hazijaisha muda wake wa matumizi ili kulinda afya zao. Ushauri huo ulitolewa na Afisa Udhibiti Ubora wa TBS, James James kwenye Maonesho ya Fahari ya Geita yaliyohudhuriwa na wajasiriamali, wafanyabiashara na wadau…

Read More

Mzambia ang’olewa Yanga, Mourinho afunguka kurejea

MWISHONI mwa msimu huu, inaelezwa Yanga Princess itaachana na kocha mkuu, Charles Haalubono baada ya timu hiyo kufanya vibaya kwenye Ligi Kuu ya wanawake (WPL) na jicho la wananchi lipo kwa Edna Lema ‘Mourinho’ kuwa mbadala wake. Huu unaweza kuwa msimu mbaya zaidi kwa Yanga baada ya kufungwa na timu tatu tofauti nyumbani na ugenini…

Read More

Makampuni 130 Afrika yapewa Tuzo

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TUZO za makampuni bora barani Afrika (ACOYA) zilizoandaliwa na The Global CEOs Institute wakishilikiana na Eastern Star Consulting Group Tanzania zaendelea kuwa chachu ya kuongeza ufanisi na uzalishaji wa bidhaa bora na zenye viwango ili kuleta tija katika ukuaji wa maendeleo na uchumi ndani ya Afrika. Hayo yamesemwa Mei…

Read More

Azam yatua kwa wajeda kubeba straika

AZAM FC imeanza usajili wa wachezaji  kwa ajili ya msimu ujao na tayari imewatambulisha mastaa wapya wanne, wakiwamo wawili kutoka Colombia na Mali, lakini haijaishia hapo kwani ipo hatua za mwisho kunasa saini ya aliyekuwa mshambuliaji wa Mashujaa, Adam Adam. Hadi sasa Azam imewatambulisha Wacolombia, Ever Meza (kiungo) na Jhonier Branco (mshambuliaji) sambamba na beki…

Read More

DAWASA yafunga mita 150 za malipo ya kabla Dar na Pwani

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la ufungaji wa mita za malipo ya kabla (prepaid meters) kwenye maeneo mbalimbali ambapo hadi kufikia tarehe 31 Mei mwaka huu, jumla ya mita 150 zimefungwa katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Utekelezaji wa zoezi hili…

Read More

Sekta ya fedha yawakumbuka wafugaji

Dar es Salaam. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua akaunti ya mfugaji mahususi kwa ajili ya wadau wa sekta ya ufugaji nchini.  Huduma hiyo ya kwanza kutambulishwa na benki hiyo nchini imeanzishwa maalumu kwa kundi hilo, pamoja na kuchochea kasi ya ukuaji wa sekta hiyo kupitia huduma za fedha zilizorahisishwa. Akizungumza Leo Jumapili Juni 2, 2024…

Read More