TOFAUTI ZA DINI, SIASA ZISIWAGAWE WATANZANIA – DKT. BITEKO

📌 Awataka waumini kushirikiana na Askofu Pangani 📌Serikali kuendelea kushirikiana na taasisi za dini nchini 📌 Rais Samia apewa tuzo kwa uongozi uliotukuka na kulinda amani *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kudumisha amani, mshikamano na upendo na…

Read More

Sh999 bilioni zakusanywa uwekezaji ardhi Unguja, Pemba

 Unguja. Dola 384 milioni za Marekani (Sh999.6 bilioni) zimewekezwa katika visiwa vidogo vidogo Unguja na Pemba huku  Dola 20.5 milioni (Sh53.3 bilioni) tayari zimekusanywa zikiwa ni gharama ya uwekezaji ardhi.  Hatua hiyo imefikiwa baada ya mwaka 2021 Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), iliruhusu uwekezaji wa visiwa vidogo vilivyopo Unguja na Pemba, kati ya visiwa…

Read More

Simba yamnyatia beki Mkenya | Mwanaspoti

KLABU ya  Simba Queens imeanza kufuatilia kwa ukaribu dili la beki wa kati wa Wiyeta FC ya Kenya, Lorine Ilavonga (17) katika mipango ya kufanya maboresho eneo la ulinzi kuelekea msimu ujao. Inaelezwa beki huyo ambaye mkataba wake unaisha mwisho wa msimu huu anahitajika na klabu mbalimbali ikiwemo Police Bullets ya nchini Kenya. Beki huyo…

Read More

Kelvin ‘Mbappe’ kanyanyua upanga Denmark

KUNYANYUA upanga juu ni ishara tosha kuwa tayari kwa mapambano. Ndio! yupo tayari Kelvin John kwa hilo ikiwa ni siku chache tu tangu atambulishwe kuwa mchezaji mpya wa Aalborg BK ya Denmark baada ya kumaliza mkataba wa kuichezea  KRC Genk ya Ubelgiji. Licha ya mambo kutomwendea vile ilivyokuwa ikitarajiwa na wengi ndani ya miaka mitatu…

Read More

ANC kuvishawishi vyama vingine kumuunga mkono Ramaphosa bungeni

Johannesburg, Afrika Kusini. chama cha African National Congress (ANC), kimesema kuwa kitavishawishi vyama vingine kuunga mkono kuchaguliwa  tena kwa Cyril Ramaphosa bungeni ili kumruhusu kuunda uongozi. Chama hicho kimetoa kauli hiyo leo Juni 2,2024 kufuatia kuhesabiwa asilimia  99 za uchaguzi uliofanyika Mei 29,2024 ambapo chama hicho kiliongoza  kwa asilimia 40.2 katika uchaguzi huo,  chama cha…

Read More

Wakili Mwabukusi ajitosa kuwania urais TLS, Heche ajiweka kando

Wakati Kamati ya Uchaguzi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Law Society  (TLS) ikiongeza muda kwa wanachama zaidi kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali, wakili Boniface Mwabukusi ajitosa kuwania urais, huku mwenyekiti wa AYL anayemaliza muda wake  Edward Heche akieleza kuwa hatogombea tena. Chama hicho kinatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu Agosti 2, 2024, jijini Dodoma, kuwapata viongozi wapya…

Read More