NELSON MANDELA FITNESS CLUB YAZINDULIWA KUBORESHA AFYA MAHALA PA KAZI
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela imezindua Nelson Mandela Fitness Club yenye lengo la kuboresha afya za wafanyakazi, wanafunzi na jamii inayozunguka katika kujikinga na magonjwa yasiyoyakuambukizwa. Hayo yamesemwa na Naibu Makamu Mkuu wa Taasisi Taaluma, Utafiti na Ubunifu Prof Anthony Mshandete Juni 1, 2024 Kampusi ya Tengeru Arusha. ”…