Sumaye airushia dongo Chadema
MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Frederick Sumaye amesema hakuna chama cha siasa cha upinzani kinachoweza kuendesha nchi zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Sumaye ametoa kauli hiyo akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Emanuel Nchimbi, uliofanyika mkoani Manyara. Licha ya kutotaja jina, Sumaye amedai kuna…