Zohreh Elahian, mwanamke wa kwanza kujiandikisha kuwania urais Iran 2024
Mbunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Zohreh Elahian amekuwa mwanamke wa kwanza kujiandikisha kugombea uchaguzi wa mapema wa duru ya 14 ya urais wa Jamhuri ya Kiislamu, kufuatia kifo cha Rais Ebrahim Raisi katika ajali ya helikopta. Msemaji wa Makao Makuu ya Uchaguzi ya Iran Mohsen Eslami, amesema watu 23 walifika…