Ahukumiwa kunyongwa kwa kulawiti, kubaka na kumuua mtoto
Arusha. Mahakama Kuu, Masijala ndogo ya Dar es Salaam imemhukumu Said Bakari, kunyongwa hadi kufa,baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka,kumlawiti na kumuua kwa kumnyonga,mtoto wa kike aliyekuwa na umri wa miaka 13. Hukumu hiyo imetolewa Mei 29, 2024 na Jaji Musa Pomo ambapo katika kesi hiyo ya mauaji namba 120 ya mwaka 2021, Jaji…