WALIMU SEKONDARI FUNDISHENI KIINGEREZA KWA UMAHIRI-Dkt. Msonde
Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde amewataka walimu wa shule za Sekondari nchini kufundisha wanafunzi lugha ya kiingereza kwa umahiri ili kuwawezesha kupata ufaulu mzuri katika masomo yote ya mtihani wa kidato cha nne, ikizingatiwa kuwa kiingereza ndio lugha rasmi ya kufundishia. Dkt. Msonde ametoa wito huo…