Ulinzi ndiyo tatizo Mtibwa Sugar
Wakati Mtibwa Sugar ikiwa mkiani mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kucheza michezo 27 na kukusanya jumla ya pointi 20, ila inashika nafasi ya nne kwenye timu 16 ambazo zimefunga idadi kubwa ya mabao msimu huu, huku ikionekana kuwa na tatizo kubwa kwenye eneo la ulinzi. Timu hiyo inayopambana na janga la kushuka…