VIDEO: Dakika 90 za hekaheka Barabara ya Kilwa
Dar es Salaam. Ni hekaheka katika Barabara ya Kilwa inayounganisha Jiji la Dar es Salaam na mikoa ya kusini, kutokana na wakazi wa Mtaa wa Kimbangulile kuifunga kwa takribani dakika 90 wakidai kuchoshwa na ajali zinazotokea kila uchwao. Hatua hiyo imetokana na ajali iliyotokea jioni ya jana Mei 16, 2024 iliyosababisha vifo vya watu wanne…