Hospitali Amana yapata hati miliki ya ardhi baada ya miaka 70
Dar es Salaam. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana imekabidhiwa hati ya umiliki ardhi wa eneo la hospitali hiyo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 26,642 ikiwa ni miaka 70 tangu kuanzishwa kwake 1954. Kwa kipindi chote hospitali hiyo iliyoanza kutoa huduma ya mama na mtoto kama zahanati kabla ya Uhuru na baadaye Hospitali ya…