Yassin Mustafa aibukia Tabora United
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita tangu alipomaliza mkataba na Mtibwa Sugar, beki Yassin Mustapha amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Tabora United. Mustapha ameenda Tabora kuziba pengo la aliyekuwa nahodha wa timu hiyo, Said Mbatty aliyeachwa na kukimbilia Fountain Gate katika dirisha dogo la usajili lililo wazi na litakalofungwa…