Mahakama Kuu ilivyopangua adhabu ya mfungwa wa uchawi
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Kigoma imeamuru kuachiliwa huru mara moja kwa mfungwa aliyekuwa akitumikia adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa linalohusiana na uchawi, Iddy Hussein, kutokana na adhabu hiyo kutokuzingatia misingi ya kisheria katika kutoa adhabu. Mahakama hiyo imetoa amri hiyo katika hukumu iliyotolewa na Jaji John Nkwabi kufuatia…