Mitazamo tofauti ya wadau kuhusu mapigano DRC
Dar es Salaam. Ingawa hatua zilizotangazwa na wakuu wa nchi baada ya kikao chao cha kumaliza mgogoro Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zinatajwa kuwa muhimu kwa sasa, wadau wamesema mustakabali wa amani ya Taifa hilo, utaamuliwa na uimara wa jeshi lake yenyewe. Sambamba na hilo, wadau hao wamesema njia nyingine ya utatuzi…