Ushindi mechi nne mfululizo wamkosha Mourinho
KOCHA wa Yanga Princess, Edna Lema ‘Mourinho’ amesema ushindi wa mechi nne mfululizo kwenye ligi zinachangiwa na juhudi za wachezaji wake waliopambana hasa duru la pili. Kwenye mechi 11 za ligi Yanga Princess imepata ushindi mechi sita, sare tatu na kupoteza mechi mbili ikisalia nafasi ya tatu na pointi 24. Mourinho alisema mzunguko wa kwanza…