Sababu Bunge kupitisha Sh945. 7 bilioni ya nyongeza
Dodoma. Bunge limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya Sh945.7 bilioni kwa ajili ya nyongeza kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25 kutoka Sh49.346 trilioni zilizoidhinishwa Juni mwaka jana hadi Sh50.291 trilioni. Bajeti hiyo imewasilishwa leo, Februari 14, 2025 na na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, siku ya mwisho ya Mkutano wa…