BOT Yatangaza Nafasi za Kazi 83, Mwisho wa Kutuma Maombi Machi 24, 2026

Global Publishers
March 12, 2026
0 Comments

Serikali kupitia Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) imetangaza nafasi 83 za ajira katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), ikiwataka Watanzania wenye sifa kuomba nafasi hizo.

Baadhi ya Nafasi Zilizotangazwa

  • Security Guard III – 13

  • Bank Officer III – 13

  • Accountant III – 8

  • IT Technician III – 6

  • Bank Examiner III – 6

  • Computer Analyst/Programmer III – 5

  • Internal Auditor (Systems Auditor) III – 4

  • Receptionist III – 4

  • Personal Secretary III – 3

  • Human Resource Officer III – 3

  • Legal Officer III – 2

  • Security Officer III – 2

  • Porter III – 2

  • Supplies/Procurement Officer III – 2

  • Kitchen Attendant III – 2

  • Mechanical Engineer III – 1

  • Electrical Engineer III – 1

  • Planning Officer III – 1

  • Financial Analyst III – 1

  • Electrical Technician III – 1

  • Electronics Technician III – 1

  • Business Analyst III – 1

  • Programmes Coordinator/Instructor III – 1

Masharti Muhimu ya Waombaji

  • Mwombaji lazima awe raia wa Tanzania.

  • Umri usizidi miaka 45 (isipokuwa kwa taasisi za kijeshi ambapo masharti ni tofauti).

  • Waombaji waambatanishe vyeti muhimu kama:

  • Matokeo ya Form IV/VI slips hayakubaliki.

Jinsi ya Kutuma Maombi

Maombi yote yanapaswa kutumwa kupitia tovuti ya ajira ya serikali:
👉 http://portal.ajira.go.tz

Mwombaji pia anatakiwa kuandika barua ya maombi kwa:

Katibu
Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
S.L.P 2320
Dodoma

Mwisho wa Kutuma Maombi

📅 24 Machi 2026

Ni waombaji watakaopitishwa kwenye mchujo pekee ndio watakaoitwa kwenye usaili.