
Liverpool, West Ham zafuata njia ya Arsenal, Man City
LONDON, ENGLAND. LIVERPOOL na West Ham United zimetolewa katika michuano ya Europa League, baada ya kushindwa kupindua meza katika michezo ya mkondo wa pili. West Ham United vs Bayer Leverkusen Liverpool ambayo ilichapwa bao 3-0 na Atalanta, Alhamisi wiki iliyopita uwanjani Anfield imeibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa marudiano, lakini haujaisaidia. Bao…