
ACB yazindua kadi ya Visa kukidhi matarajio ya wateja
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba (ACB) imezindua huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya miamala ya kifedha na ina uwezo wa kutumika sehemu yoyote duniani. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mkurugenzi Mtendaji wa ACB, Silvest Arumasi, amesema benki inafanya maboresho makubwa ya huduma za kifedha kwa wateja wake ili…