
Iran yadai kuzima mashambulizi ya Israel, yazitungua droni tatu
Iran. Vyombo vya habari vya Serikali nchini Iran vimesema kuwa mfumo wa ulinzi wa anga wa nchi hiyo uliangusha ndege tatu zisizo na rubani (droni) katika Mji wa Isfaha usiku wa kuamkia leo Ijumaa Aprili 19, 2024. Taarifa hiyo imetolewa saa chache baada ya vyombo vya habari vya Marekani, vikiwanukuu maofisa wakuu wa Marekani, kuripoti…